Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai.

Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai.
kiungo : Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai.

soma pia


Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kushoto) akifurahia madhari ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa kilichopo wilayani Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.Picha kwa hisani ya ATC

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia) akifurahia madhari ya Chuo cha Ufundi Arusha(ATC),Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kulia) akipewa maelezo na Mkuu wa Chuo chaUfundi Arusha(ATC),Dk Richard Masika wakati ya ziara yake kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme,kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Mhandisi Stella Manyanya.

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako(kushoto) akiangalia moja ya mitambo ya kuzalisha umeme kwa njia ya maji iliyokua ikitumika zaidi ya miaka 50 iliyopita,kulia ni Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Masika.



Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Profesa Joyce Ndalichako akisisitiza jambo wakati akizungumza na jumuiya ya wana Chuo cha Ufundi Arusha(ATC) kwenye Kituo cha kuzalisha umeme cha Kikuletwa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro kinachotumika kwa mafunzo ya wanafunzi wanaosomea kozi ya Umeme.




Hivyo makala Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai.

yaani makala yote Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/waziri-wa-elimu-profesa-ndalichako.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri wa Elimu Profesa Ndalichako Avutiwa na Kituo cha Mafunzo Kwa Vitendo Cha Kikuletwa Wilayani Hai."

Post a Comment