MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS

MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS
kiungo : MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS

soma pia


MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS


NA Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

MFUMUKO wa bei wa Taifa kwa mwenzi Desemba 2017 umepungua hadi kufikia asilimia 4.O ikilinganishwa na asilimia 4.4 ilivyokuwa mwezi Novemba 2017.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Epharaim Kwesigabo amesema kupungua huko kumetokana na mfumuko wa bei wa mwezi Desemba 2017 ,na kumechangiwa na kupungua kwa bei kwa baadhi ya bidhaa za vyakula kwa kipindi kilichoishia mwezi Desemba 2017 ikilinganishwa na bei za mwezi Desemba , 2016.

Amesema baadhi ya bidhaa za vyakula zilizochangia kupungua kwa mfumuko wa bei huo ni unga wa muhogo kwa asilimia 1.9,Nyama asilimia 3.4, Samaki asilimia 15.1, Karanga asilimia 3.5 ,Mbogamboga asilimia 2.9, Njegere asilimia 7.5 , Viazi Mviringo asilimia 6.7.Mihogo Mibichi asilimia 16.8 pamoja na Viazi Vitamu asilimia 12.6.

Kwesigabo amesema mfumuko wa bei nchini una mwelekeo unaofanana na nchi nyingine Afrika Mashariki ambapo Kenya Mfumuko wa bei wa mwezi Desemba 2017 umepungua hadi asilimia 4.50 kutoka asilimia 4.73 mwezi Novemba 2017, Uganda Mfumuko wa bei wa mwezi Desemba 2017 umepungua hadi asilimia 3.3 kutoka asilimia 4.4 mwezi Novemba 2017.

Aidha amesema Mfumuko wa bei wa Taifa unapima kiwango cha kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma zote zinazotumiwa na kaya binafsi nchini.

Kwesigabo amesema NBS ni Taasisi ya Umma iliyoanzishwa kwa sheria ya kufanya uratibu upatikanaji wa takwimu rasmi.
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS), Epharaim Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari juu ya mfumuko wa bei wa Mwezi Desemba 2017 leo jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS

yaani makala yote MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/mfumuko-wa-bei-kwa-mwezi-desemba-2017.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS"

Post a Comment