MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000

MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000
kiungo : MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000

soma pia


MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000


Ofisa MTENDAJI wa Kata ya Kivukoni Iginas Maembe akizunngumza na MAMA LISHE wa Soko la Samaki Feri Dar es salaam Leo, wakati akitoa elimu ya mikakati ya Usafi, ambapo mtu akikamatwa anatupa taka faini shilingi 50,000 (kushoto wa pili) OFISA Uhusiano MANISPAA ILALA Tabu Shaibu (Picha na Heri Shaban)



Wakala wa Usafi katika soko la Samaki Feri wakitekeleza agizo la usafi ambalo kimetolewa na Manispaa ya Ilala Dar es salaam Leo, (Picha na Heri Shaban)
Na Heri Shaban
MANISPAA ya Ilala wamezindua kampeni endelevu ya usafi Kata ya Kivukoni eneo la Feri ,pia watoa agizo kwa wachafuzi wakikamatwa faini sh,50,000.

Kampeni hiyo ilizinduliwa Dar es salaam katika soko la feri na Ofisa MTENDAJI wa Kata ya Kivukoni  Iginas Maembe.

Akizunngumza katika kampeni hiyo Ofisa MTENDAJI Maembe alisema  katika kata hiyo ni kampeni endelevu ya usafi Kama sehemu ya kumuunga mkono Mkuu wa Wilaya  Sophia Mjema amewataka Watendaji na Wenyeviti kushiriki usafi katika maeneo yao.

"Tumezindua Usafi Leo tunawaomba wote muwe wasafi kila mmoja amchunge mwezake asiwe mchafuzi wa Mazingira faini yake ni kubwa unaweza ukalipa zaidi ya shilingi 50,000"alisema Maembe.

Aliagiza kila mtu kuwa na chombo chake cha kuifadhi takataka wakiwemo madereva wa daladala wote watii sheria bila kushurutishwa.


Aliagiza kila daladala ambayo ina shusha abiria katika eneo la Feri Kivukoni  kuweka chombo maalum cha kuifadhi takataka na daladala ambayo itakaidi kukamatwa na kupigwa faini ya papo kwa hapo.


Aidha pia katika uzinduzi huo timu ya afya Kivukoni na Maofisa wa Manispaa ya Ilala walitoa elimu ya usafi kwa makundi maalum ya Watu wenye ulemavu  madereva wa Bajaj wa Feri pia watii agizo.

Katika kampeni hiyo ya usafi  ilifanikiwa kuwakamata Dereva na kondakta wake kwa kushindwa kuweka chombo cha kuifadhi taka ndani ya daladala.


Kwa upande Wake OFISA ELIMU kwa Umma Manispaa Ilala Tabu Shaibu,alisema jukumu la usafi ni la watu wote kuanzia Mtaa had Kata jukumu letu kuakikisha mazingira yanakuwa safi.

Tabu aliwataka watii sheria na kufuata taratibu zote za usafi ili kata hiyo iweze kuvutia ili na wengine waweze kuiga.




Hivyo makala MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000

yaani makala yote MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/manispaa-ya-ilala-watoa-agizo-ukitupa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MANISPAA ya Ilala watoa agizo ukitupa taka Feri faini sh, 50,000"

Post a Comment