title :
kiungo :
MSANII wa maigizo ya filamu zanzibar katika kundi la jku art group HAWA RAMADHAN SARIA amefariki dunia katika hospitali ya mnazi mmoja baada ya kuugua kwa muda mfupi .
kwa mujibu wa maelezo kutoka kwa msimamizi mwongozaji wa kikundi cha maigizo jku art group haji kimtende amesema marehemu hawa alianza kujisikia vibaya kiafya na hatimae kupelekwa hospitali ya mnazi mmoja kwa ajili ya matibabu zaidi lakini hali yake haikuwa nzuri hadi mauti yalipomkuta siku ya jumatano 22/8/2018.
mwili wa marehemu umesafirishwa leo alhamis 23/8/2018 na kupelekwa nyumbani kwao MKOANI DODOMA WILAYA KONDOA kwa shughuli za mazishi
marehemu amejiunga na kikundi cha sanaa ya maigizo cha jku mwanzoni mwa mwaka 2015 , na ameshiriki katika tamthilia mbili na filamu moja za kikundi hicho ikiwemo mchezo ulijipatia umaarufu mkubwa kwa wapenzi wa tamthilia hapa kama mkombozi na tamthilia ya kitendawili ambayo inaendelea kuoneshwa hewani kupitia zbc tv pamoja na filamu inayofahamika chozi langu
marehemu hawa ameacha mume , mwenyezimungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi amiiiiiin.
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/msanii-wa-maigizo-ya-filamu-zanzibar.html
0 Response to " "
Post a Comment