title : TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
kiungo : TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Mamlaka ya Mapito nchini(TRA) imekusanya sh.Trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi ya mwaka wa fedha 2017/2018 ikilinganishwa na sh.Trioni 7.27 kwa kipindi kama hicho katika mwaka wa Fedha 2016/2017 ambacho ni sawa na ukuaji wa asilimia 8.45.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo amesema katika miezi ya Desemba 2017 pekee TRA ilikusanya jumla ya sh.Trioni 1.66 ikilinganishwa na kipindi kama hicho cha Desemba makusanyo yalikuwa sh.Trioni 1.41 ambacho ni sawa ukuaji wa asilimia 17.65.
Amesema watanzania waendelee kulipa kodi ili kuweza kupatikana kwa huduma mbalimbali za kijamii pamoja na kukuza uchumi wa nchi.
Aidha amesema katika taarifa za mapato zinatolewa kila baada ya miezi mitatu hiyo ni kuwezesha wananchi kuwa taarifa za kodi ya nchi yao.
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari juu ya ukusanyaji kodi kwa miezi sita ya 2017/2018 leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
yaani makala yote TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/tra-yakusanya-trioni-787-kwa-kipindi.html
0 Response to "TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii"
Post a Comment