KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU

KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU
kiungo : KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU

soma pia


KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU

Afisa Mradi wa Envirocare , ndugu Antony Mlelwa (Mwenye shati jeupe) akifungua na kumkabidhi kompyuta Afande Kamishna Gaston Sanga huku Mkurugenzi na Meneja Mradi wakishuhudia. Kompyuta hizo zitatumika kuhifadhia Taarifa na Takwimu kwa wataalam wapya wa katika Mradi wa Msaada wa Kisheria Magerezani.
Mkurugenzi wa Envirocare Bi Loyce Lema akitoa maelezo mafupi ya historia ya Envirocare kabla ya kumkaribisha Afande Kamishna Gaston Sanga kutoa hotuba ya Kamishna Jenerali wa Magereza na kufungua rasmi mafunzo ya siku tatu kwa wataalamu wapya wa Utunzaji wa Takwimu katika Mradi wa Msaada wa Kisheria Magerezani
Kamishna Sanga akitoa Nasaha za Kamishna Jenerali wa Magereza kabla ya kufungua rasmi mafunzo ya wataalam wapya Utunzaji wa Takwimu ambayo yanafanyika Makongo juu jijini Dar es Salaam kwenye ofisi Envirocare
Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Magereza Afande Gaston Sanga( wa pili kulia), Mkurugenzi wa Envirocare Bi Loyce Lema (wa pili kushoto) ,Meneja Mradi Bi Catherine Jerome( wa kwanza kulia) na Mwanasheria wa Jeshi la Magereza Makao Makuu, Mkaguzi Msaidizi Hobokela Mwansumbule(wa kwanza kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Utunzaji wa Taarifa na Takwimu.
Picha zote na Makao Makuu ya Magereza kitengo cha Habari.



Hivyo makala KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU

yaani makala yote KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/kamishna-gaston-sanga-amwakilisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMISHNA GASTON SANGA AMWAKILISHA KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA KUFUNGUA MAFUNZO YA MAAFISA VIUNGANISHI WA UTUNZAJI WA TAKWIMU"

Post a Comment