KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU

KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU
kiungo : KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU

soma pia


KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU

Na Woinde Shizza ,Arusha

WAKURUGENZI wa Kiwanda cha Grande Demam kilichopo wilayani Meru mkoani Arushawameama kuongeza thamani ya maziwa ya ng'ombe huku 
wakihamasisha Watanzania kunywa maziwa yalisindikwa kwani hayana madhara kwa mlaji zaidi ya kumkinga na magonjwa yanayoweza kuambikizwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu.

Uamuzi wa kuongeza thamani ya maziwa umetokana kiwanda hicho kuongeza wigo na kununua maziwa zaidi kwa wafugaji wilayani hapo ambao walikua wakiteseka kupata masoko na wakati mwingine kumwaga maziwa yao yanayoharibika kwa kukaa muda mrefu bila kununuliwa.

Imefahamika Wilaya ya Meru ni moja kati ya Wilaya maarufu zinazoongoza kwa uzalishaji mkubwa wa maziwa mkoani Arusha na maziwa hayo huuzwa maeneo ya miji ikiwemo viunga vya Jiji la Arusha na nje ya Jiji hilo.

Licha ya uzalishaji huo wa maziwa bado wafugaji hao wa wilaya hiyo ya Arumeru walikuwa wanakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa masoko ya uhakika ya kununua maziwa hayo, hivyo kusababisha kuharibika baada ya kukaa kwa muda mrefu bila kununuliwa.

Akizungumza leo mmoja wa wakurugenzi wa kiwanda hicho Dk.Deo ambaye ni mtaalam wa mifugo anasema kutokana na changamoto hiyo kwao wakaifanya kuwa fursa ya wao kuwekeza kiwanda cha kusindika maziwa.

Dk.Deo anasema kwa kuwa wafugaji hao walikua wakiyamwaga maziwa yao yaliyokuwa yakiharibika kwa kukosa soko la uhakika na hawakuwa na namna yoyote ya kuongeza thamani maziwa hayo ili yaweze kukaa kwa muda bila kuharibika baada ya kuanzisha kiwanda hicho imesaidia kuongeza thamani ya maziwa.

Baadhi ya Wafanyakazi na Viongozi wa Kiwanda cha Maziwa cha The Grande Demam wakihakiki ufungashaji wa bidhaa za maziwa zinazozalishwa kiwandani hapo
Baadhi ya Viongozi wa kiwanda cha maziwa cha The Grande Demam wakinywa maziwa yanayozalishwa na kiwanda hicho.



Hivyo makala KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU

yaani makala yote KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/03/kiwanda-cha-grande-demam-chaongeza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIWANDA CHA GRANDE DEMAM CHAONGEZA THAMANI YA MAZIWA WILAYA YA ARUMERU"

Post a Comment