title : NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA
kiungo : NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA
NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na Afisa Rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa),Haika Ndalama mara baada ya kuwasili kwa ajili ya ziara ya kuitembelea mamlaka hiyo.
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso kulia akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Phares Aram wakiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa mamlaka hiyo kwa ajili ya kumpatia taarifa wakati wa ziara yake.
NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akizungumza wakati wa ziara hiyo kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi anayefuatia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Phares Aram.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akichimba mtaro katika eneo la Mikanjuni Jijini Tanga wakati alipotembelea mradi wa mfumo wa uboreshaji wa Maji
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA
yaani makala yote NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/naibu-waziri-aweso-atembelea-mamlaka-ya.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI AWESO ATEMBELEA MAMLAKA YA MAJI TANGA UWASA"
Post a Comment