SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL

SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL
kiungo : SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL

soma pia


SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL


Mchezaji bora wa Ligi Kuu England katika msimu wa 2017/18 Mohamed Salah, ameisaini mkataba wa muda mrefu kuendelea kuitumikia klabu ya Liverpool.

Salah amefikia makubaliano na mabosi wa Liverpool kuongeza muda wa soka la maisha yake na timu hiyo na kuzima rasmi tetezi za kuondoka Anfield.

Mshambuliaji huyo kutoka taifa la Misri, atakuwa anatengeneza rekodi ya kuwa mchezaji anayelipwa fedha nyingi ndani ya klabu hiyo, kiasi cha pauni milioni 200,000 kwa wiki.

Kabla ya kusaini mkataba huo, Salah alianza kuhusishwa kuelekea Real Madrid kwa ajili ya kusajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria Real Madrid lakini amezima uvumi huo na sasa atasalia Liverpool mpaka mwaka 2023


Hivyo makala SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL

yaani makala yote SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/salahasaini-mkataba-wa-muda-mrefu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SALAHASAINI MKATABA WA MUDA MREFU LIVERPOOL"

Post a Comment