MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE
kiungo : MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

soma pia


MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

Mbunge wa Jimbo la Nkenge leo amekabidhi vifaa vya michozo vyenye thamani ya shilingi milioni 36,080,000 za kitanzania kwa shule zote za sekondari zilizo ndani ya Wilaya ya Missenyi na timu za mpira za kata 13 zilizomo jimboni Nkenge
Vifaa hivyo vimekabidhiwa katika mkutano mkubwa wa kila mwaka wa Wadau wa maendeleo wa Jimbo la Nkenge uliofanyika jana Alhamisi Dec 14,2017 katika ukumbi wa Halmashauri ya Missenyi-Bunazi
Akiongea na wadau Balozi Dk. Kamala amesema; 'anaomba vifaa hivyo vitunzwe kama ilivyokusudiwa pia ametumia fursa hiyo kutoa shukrani kwa Ubalozi wa Ubeligiji Tanzania,Chama cha Mpira cha Ubeligiji kwa kusaidia kupata Vifaa hivyo pia amekishukuru kiwanda cha Kagera Sugar kwa kusaidia kusafirisha vifaa hivi kutoka Dar es Salaam mpaka Missenyi jimboni mwake.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI


Hivyo makala MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE

yaani makala yote MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/mbunge-balozi-dkt-kamala-akabithi-vifaa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MBUNGE BALOZI DKT. KAMALA AKABITHI VIFAA VYA MICHEZO KWA SHULE ZOTE WILAYANI MISSENYI NA TIMU 13 ZA KATA JIMBONI NKENGE"

Post a Comment