LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS

LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS
kiungo : LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS

soma pia


LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS

Mfalme wa ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani, LeBron James,  amesaini kujiunga na timu ya  Los Angeles Lakers kwa kitita cha Dola 154 ambazo ni sasa na Sh. bn. 350 za Tanzania.

Taarifa ya shirika la Klutch Sports linalomwakilisha Bron, ilisema nyota huyo amesaini mkataba wa miaka minne na timu hiyo ya mchezaji wa zamani wa mchezo huo, Magic Johnson.


Inasemekana mchezaji huyo ambaye anategemewa kutangaza kujiunga na timu hiyo kesho (Jumanne), huenda akaungana na mchezaji mwingine mpya wa timu hiyo, Kawhi Leonard,  kutoka timu ya San Antonio Spurs.


Hivyo makala LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS

yaani makala yote LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/07/lebron-asaini-bn-350-kujiunga-na-los.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LEBRON ASAINI BN. 350/= KUJIUNGA NA LOS ANGELES LAKERS"

Post a Comment