SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.

SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.
kiungo : SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.

soma pia


SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.

 
Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe,Mohammed Abdalla Salum katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Ofisi mpya ya Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Kijangwani Posta mjini Unguja.kushoto yake ni Naibu Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe,Chumu Kombo Khamis na Kulia ni -Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege la ACTL Ar Tanzania Eng Emanuel Koroso.
Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk,Lila Vuai Lila kushoto na Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Albinus Manumbu wakitiliana saini mkataba wa utumiaji wa ndege kwa watalii watakaofika Zanzibar katika Ufunguzi wa  Ofisi yao Mpya Kijangwani Posta mjini Unguja.

Katibu Mtendaji Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk,Lila Vuai Lila kushoto na Kaimu Mkurugenzi Mkuu  wa Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Albinus Manumbu wakibadilishana hati ya  mkataba wa utumiaji wa ndege kwa watalii watakaofika Zanzibar katika Ufunguzi wa  Ofisi yao Mpya Kijangwani Posta mjini Unguja.
Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe,Mohammed Abdalla Salum akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Ofisi Mpya ya Shirika la Ndege la ACTL Air Tanzania Kijangwani Posta mjini Unguja.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege la ACTL Ar Tanzania Eng Emanuel Koroso akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Ofisi yao Mpya Kijangwani Posta mjini Unguja.



Hivyo makala SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR.

yaani makala yote SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/shirika-la-ndege-la-actl-air-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA NDEGE LA ACTL AIR TANZANIA LAFUNGUA OFISI MPYA ZANZIBAR."

Post a Comment