HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU
kiungo : HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU

soma pia


HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akizungumza na wataalam, wanahabari na viongozi wa Wizara hiyo kutoka katika sekta ya Uvuvi, baada ya kuonyeshwa zana zilizokamatwa katika oparesheni maalum ya kupambana na uvuvi haramu, katika kanda ya Dar es Salaam.
baadhi ya zana zinazotumika katika uvuvi haramu zilizokamatwa katika oparesheni maalum ya kupambana na uvuvi haramu katika kanda ya Dar es Salaam.

Akiwa katika zoezi la kupongeza kikosi maalum kilichoanza oparesheni ya kupambana na uvuvi haramau katika bahari ya hindi leo, zoezi lililokwenda sambamba na kuonyeshwa vifaa vinavyotumika katika uvuvi haramu vilivyokamatwa katika zoezi hilo lilioanza mwezi Julai mwaka huu, Waziri wa mifugo na Uvuvi Mhe. Luahaga Mpana amezitaka halmashauri ambazo shughuli za uvuvi zinafanyika kutenga fedha ili kuweza kupambana na uvuvi haramu.

Mpina ambaye ameshangazwa na kitendo cha Halmashauri hizo kukusanya fedha za ushuru zitokanazo na shughuli na uvuvi na kujisahau kabisa kuingia katika zoezia la kupambana na uvuvi haramu kwa kutenga fedha hususan za kufanya doria.

Aidha, Mpina Amewataka viongozi wakuu wa Wizara yake, Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba na Kaimu Mkurugenzi wa maeneleo ya Uvuvi Bw. Magese Bulayi kutembea na barua rasmi katika ziara zao za kikazi kwenye halmashauri husika zilizokuwa tayari kuwawajibisha watumishi wazembe katika zoezi zima la kupambana na uvuvi haramu.

“Mkurugenzi wa maendeleo ya uvuvi na katibu Mkuu,nawaagiza mtembee na barua zilizotayari kusimamisha au kufukuza kazi watumishi wazembe katika halmashauri, barua hizo zibaki wazi katika sehemu ya kujaza majina yao tuu, na ndani ya mwaka mmoja nataka tukomeshe kabisa uvuvi haramu. “ Alisisitiza Mpina.

Awali akieleza madhara ya matumizi ya kitoweo cha samaki waliyovuliwa kwa njia ya vilipuzi na mabomu, Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Yohana Budeba alisema kuwa samaki wanaovuliwa kwa njia hiyo huleta madhara makubwa kwa walaji ikiwa ni mapoja na magonjwa ya tumbo na Saratani


Hivyo makala HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU

yaani makala yote HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/halmashauri-zatakiwa-kutenga-pesa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU"

Post a Comment