title : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA
kiungo : WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya Kazi Mkoani Geita, Novemba 27, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya mkoa wa Geita Novemba 27, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya Kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018. Wapili kushoto ni Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani, kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Mwita Waitara na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mtoto, Naomi Nkingwa ambaye alishirkiana na wanakwaya wa Kikundi cha Mwagazege cha Chato kumwimbia wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha ndege cha Chato kuanza ziara ya kazi Mkoani Geita, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-majaliwa-awasili-chato.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA"
Post a Comment