MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA

MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA
kiungo : MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA

soma pia


MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Geita,  Mhandisi Robert Gabriel wakati alipowasili kwenye Kiwanja  cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj  Said Kalidushi wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya Kazi Mkoani Geita, Novemba 27, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya mkoa wa Geita Novemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi waliojitokeza kumlaki wakati alipowasili kwenye Kiwanja cha Ndege cha Chato kuanza ziara ya Kazi mkoani Geita, Novemba 27, 2018.  Wapili kushoto ni Waziri wa Nishati na Mbunge wa Chato, Dkt. Medard Kalemani, kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI,  George Mwita Waitara na Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA

yaani makala yote MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/majaliwa-awasili-chato-kuanza-ziara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA AWASILI CHATO KUANZA ZIARA YA MKOA WA GEITA"

Post a Comment