Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma.

Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma.
kiungo : Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma.

soma pia


Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma.

Na.WAMJW, Tanga
 Uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Bombo kuboresha huduma za matibabu zitakazopatikana na kwa muda mfupi ili kupunguza adha ya wagonjwa kukaa muda mrefu.
Ushauri huo umekuja wakati ziara  ya Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine wakati wa ziara yake hospitaliji hapo.
Dkt.Ndugulile alibaini uwepo wa ida di kubwa ya wagonjwa wanaosubiri huduma huku ka si ya madaktari wanaotoa huduma hiyo kwa wagonjwa ukiwa ni Mdogo Hal i inayopelekea usumbufu Mkubwa wanaofika hospitaliji hapo kusubiri kwa muda mrefu.
“Ninaona  f ursa ya hospitali hii kukusanya mapato  zaidi ya hapa hivyo, mnatakiwa kuboresha huduma za matibabu kwa kuweka mfumo wa serikali wa kukusanya mapato kwa kuunganisha idara zote za hospitali hii”.Alisisitiza Dkt.Ndugulile
Aliongeza kuwa huduma ya hospitali hiyo bado sio nzuri kwani ameona hawana utaratibu mzuri kwa kuwa wagonjwa wanafika  toka saa 12 asubuhi lakini hadi mchana bado hawajapata matibabu”bado Hakuna utaratibu mzuri wa kuwaona wagonjwa,haijulikani yupi aliyewahi,yupo amechelewa,ninawaagiza muweke utaratibu mzuri utakaowawezesha wagonjwa kupata huduma Ndani ya muda mfupi na Wazee wapatiwe kipaumbele”alisema Dkt.Ndugulile.
Aidha,Naibu Waziri huyo aliwataka watumishi wote hospitaliji hapo kuweka kumbukumbu za  nyaraka za wagonjwa  vizuri kwa kuandika tarehe na muda wanaowahudumia wagonjwa wao.
“Umemwita daftari hajafika andika kwenye jarada ili baadae tukija tubaini  kama  mgonjwa amecheleweshwa kupata huduma ni wapi watendaji w etu walizembea”alisema Dkt.Ndugulile.
Hata hivyo wakati wa ziara hiyo  Naibu Waziri alibaini jengo la wagonjwa mahututi limekamilika lakini halina  madaktari wenye sifa kutoa huduma kwa wagonjwa  Na hivyo kuwataka watendaji wa Wizara yake kushughulikia  haraka suala hilo.
Akiwasilisha taarifa ya hospitali  Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt.Jumanne Ngaiwa alisema  kuongezeka kwa mapato katika hospitali hiyo imetokana na upatikanaji wa vifaa tiba na Dawa kwa ujumla huku makusanyo kwa mwezi inakadiriwa kutumia milioni 69 kwa makusanyo ya papo kwa pap o na mapato yanayotokana na mfumo wa bima ya Afya ni milioni 239 hadi 300.


Hivyo makala Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma.

yaani makala yote Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/dkt-ndugulile-ataka-ongezeko-la-mapato.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Dkt. Ndugulile Ataka Ongezeko la Mapato Liende Sambamba na Ubora wa Huduma."

Post a Comment