SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA

SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA
kiungo : SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA

soma pia


SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii.
UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) umeileza mahakama kuwa, sehemu kubwa ya upelelezi umekamilika bado maeneo machache.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon alimeeleza hayo leo mbele ya Hakimu Hakimu Mwandamizi, Godfrey Mwambapa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kesi hiyo ilipofika kwa ajili ya kutajwa.

Wakili Wankyo amedai wanakamilisha upelelezi katika sehemu ndogo iliyobakia na  wamewaelekeza polisi kufanya hill na kwamba tarehe ijayo wataieleza mahakama hatua ya upelelezi ilipofikia

Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 26, itakapokuja kwa ajili ya kutajwa

Washtakiwa hao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kwa  kusababisha hasara ya dola za Kimarekani 1,118,291.43 sawa na Sh 2,486,397,982.54.

Kalugendo ambaye ni Mkazi wa Kinyerezi na Rweyemamu Mkazi wa Mwananyamala wote ni waajiriwa wa Wizara ya Nishati na  Madini.

Wanadaiwa kati ya Agosti 25 na ,31, mwaka huu, katika maeneo mbalimbali kati ya Dar es Salaam na Shinyanga, washtakiwa kwa pamoja na kwa vitendo vyao wakiwa wathamini walioajiliwa na Wizara ya Nishati na Madini walisababisha hasara ya kiasi hicho cha fedha.
Washtakiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini  na mthamini wa madini ya almasi, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50)  wakiingia katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu kwaajili ya kusomewa mashtaka yanayo wakabali jijini Dar es Salaam leo.
 Na upande wa mashtaka umeileza mahakama kuwa, sehemu kubwa ya upelelezi umekamilika bado maeneo machache.
Watuhumiwa wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mkurugenzi wa Tathmini, Archard Alphonce Kalugendo (49) na Mthamini wa Madini ya Almas wa Serikali, Edward Joseph Rweyemamu (50) wakitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kusomewa Mashataka yanayowakabiri  jijini Dar es Salaam leo.
 Kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 26, itakapokuja kwa ajili ya kutajwa


Hivyo makala SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA

yaani makala yote SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/sehemu-ya-upelelezi-wa-kesi-ya-madini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SEHEMU YA UPELELEZI WA KESI YA MADINI YA ALMASI WAKAMILIKA"

Post a Comment