title : ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA.
kiungo : ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA.
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti la mikono mirefu akikagua baadhi ya majengo ya kituo cha afya cha Nduruma ambayo yapo kwenye ujenzi wakati wa ziara yake Jijini Arusha leo.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa kwanza kulia akiangalia kwa makini dawa zilizopo kwenye hifadhi ya dawa ya kituo cha afya cha Nduruma wakati alipotembelea kituo hiko kwenye ziara yake jijini Arusha.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile katikati akiangia mojawapo ya nyenzo za kuhifadhia dawa za maji (syrup) katika kiwanda cha kuzalisha dawa nchini TPI wakati alipotembelea kiwanda hiko kwenye ziara yake jijini Arusha, kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa TPI Bi. Zarina Madaba.
Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wa pili kulia akipata maelekezo namna kiwanda cha TPI kinavyofanya kazi ya kuzalisha dawa muhimu nchini kutoka kwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa TPI Bi. Zarina Madaba.
Hivyo makala ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA.
yaani makala yote ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/12/ziara-ya-naibu-waziri-wa-afya-mkoani.html
0 Response to "ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA MKOANI ARUSHA."
Post a Comment