KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA
kiungo : KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

soma pia


KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

Video Qeen, Agnes Gerald maarufu kama Masogange akitoka katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kusomewa mastaka yanayomkabiri ya matumizi ya Dawa za kulevya na kesi yake kupigwa Kalenda mpaka Novemba 14, 2017.
Video Qeen, Agnes Gerald maarufu kama Masogange akizungumza na wakili Rouben Semwanza leo mara baada ya kufika katika mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam leo.

Na Karama Kenyunko blogu ya jamii.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeipiga kalenda kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili  (Video Qeen), Agnes Gerald maarufu kama Masogange hadi Novemba 14 mwaka huu ambapo shahidi wa upande wa utetezi atatoa ushahidi wake.

Mshtakiwa Masogangea alipaswa kuanza kujitetea leo lakini wakili wa Serikali, Adolf Mkini aliomba  kwa Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuipangia kesi hiyo tarehe nyingine.

 Masogange ataanza kujitetea baada ya mahakama kumkuta na  kesi ya kujibu kwa upande wa mashtaka kuleta mashahidi watatu na kuufunga kesi, Masogange pia anatarajia kuita mashahidi watatu.

Masogange anadaiwa kuwa kati ya Februari 7 na 14,2017 katika maeneo yasiyojulikana ndani ya jiji la Dar es Salaam  alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin (Diacety Imophine).

Pia anadaiwa kuwa kati ya Februari 7 na 14,2017  alitumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam.


Hivyo makala KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA

yaani makala yote KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/kesi-ya-matumizi-ya-dawa-za-kulevya-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KESI YA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA YA MASOGANGE YAPIGWA KALENDA"

Post a Comment