title : DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA
kiungo : DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA
DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Richard Mabonero leo alipofika Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Balozi wa Uganda katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Richard Mabonero, alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya mazungumzo yao. (Picha na Ikulu).
Hivyo makala DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA
yaani makala yote DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/dkshein-akutana-na-balozi-wa-uganda.html
0 Response to "DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UGANDA NCHINI TANZANIA"
Post a Comment