AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24

AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24
kiungo : AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24

soma pia


AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24

 Mfamasia wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Wanawake, Jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa Hamasa na Tiba kwa Afya ya Uzazi na Uzazi wa Mpango, uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi mkazi wa Amref Health Africa, Dk. Florence Temu akizungumza wakati wa Uzinduzi wa mradi wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kwa mikoa 24 nchi nzima ili kuweza kusaidia sekta ya Afya kwa msaada wa Serikali ya Uholanzi.
 Mfamasia wa kitengo cha afya ya uzazi na Mtoto kutoka kutoka Wizara ya Afya Wanawake jinsia na Watoto, Machumu Mayeye akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi wa masuala ya afya ya uzazi na mtoto.
 Meneja mradi wa Masuala wa hamasa na Tiba kwa afya ya Uzazi na Mtoto kutoka Amref Africa, Dk. Sarafina Mkuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wadau walioshiriki katika Uzinduzi wa mradi  wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa msaada wa Serikali ya Uholanzi.
Baadhi ya Wadau walioshiriki wakati wa Uzinduzi wa mradi  wa Hamasa na tiba kwa ajili ya Uzazi wa Mpango kutoka kwa Amref Afrika kwa  msaada wa Serikali ya Uholanzi.wakiwa katika picha ya pamoja.


Hivyo makala AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24

yaani makala yote AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/amref-yazindua-mradi-wa-hamasa-katika.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AMREF YAZINDUA MRADI WA HAMASA KATIKA UZAZI WA MPANGO KWA MIKOA 24"

Post a Comment