title : SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO
kiungo : SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO
SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO
Mmoja wa washiriki wa warsha ya wadau wa sekta ya afya, mifugo, mazingira na wanyama pori kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar akichangia mada wakati wa warsha ya kujadili Mpango Mkakati wa Usalama wa Afya katika kukabiliana na magonjwa ya milipuko itokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu iliyofanyika Jumatatu Oktoba 16, 2017.
Mwakilishi wa Shirika la DTRA kutoka nchini Marekani Bi. Jean Richard akizungumza na wadau wa sekta ya afya, mifugo, mazingira na wanyama pori wakati wa warsha ya kujadili Mpango Mkakati wa Usalama wa Afya (2017-21) katika kukabiliana na magonjwa ya milipuko itokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu iliyofanyika Jumatatu Oktoba 16, 2017.
Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mbazi Msuya (wa pili kushoto)akifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa na wadau mbalimbali wa warsha wadau wa sekta ya afya, mifugo, mazingira na wanyama pori iliyokuwa ikijadili Mpango Mkakati wa Usalama wa Afya (2017-21) katika kukabiliana na magonjwa ya milipuko itokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu iliyofanyika Jumatatu Oktoba 16, 2017. Wa pili kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Ritha Njau.
Mwakilishi wa Shirika la OIE katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Bw. Moetapele Letshwenyo akizungumza na wadau wa sekta ya afya, mifugo, mazingira na wanyama pori wakati wa warsha ya kujadili Mpango Mkakati wa Usalama wa Afya (2017-21) katika kukabiliana na magonjwa ya milipuko itokayo kwa wanyama kwenda kwa binadamu iliyofanyika Jumatatu Oktoba 16, 2017.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
Hivyo makala SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO
yaani makala yote SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/serikali-yawataka-wadau-wa-sekta-ya.html
0 Response to "SERIKALI YAWATAKA WADAU WA SEKTA YA AFYA YA BINADAMU, MIFUGO, WANYAMA PORI NA MAZINGIRA KUONGEZA KASI YA USHIRIKIANO NA MASHAURIANO"
Post a Comment