NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)
kiungo : NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

soma pia


NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulileleo ametembelea Bohari ya Dawa (MSD) ambapo pamoja na mambo mengine amepata taarifa yautendaji ya MSD kuhusu usambazaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara na kusemakuwa bajeti ya dawa inayotolewa na serikali iendane na hali halisi ya upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara kwenye hospitali na vituo vya afya nchini.

Naibu waziri huyo ambaye ni mara yake ya kwanza kuitembelea MSD tangu ateuliwe kwenyenafasi hiyo, amesema hatua ya serikali kuongeza bajeti ya dawa kuanzia mwaka wa fedha uliopita na mwaka huu ina lengo la kupunguza gharama ya dawa na kuhakikisha upatikanaji wadawa muhimu kwenye vituo vyote vya Afya vya umma ili kumpunguzia mwananchi gharama zamatibabu.

Kwa upande mwingine Mhe. Ndugulile amewataka watendaji wa MSD kuwa na utaratibu wakuwatembelea wateja wao ili kuboresha huduma zaidi baada ya kusikiliza maoni, malalamiko n ahata ushauri wao. 

Sambambana hilo amewaagiza MSD kitengo cha huduma kwa watejakutembelea wateja wao na kuhakikisha kitengo cha Manununuzi Maalumu (SpecialProcurement) kinaongeza kasi kwenye manunuzi.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile, akizungumza na wafanyakazi wa Bohari ya Dawa (MSD), alipofanya ziara ya siku moja kutembelea ofisi hizo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bwana Laurean Rugambwa Bwanakunu (kulia), akitoa maelezo kwa Mhe. Ndugulile.
Picha ya pamoja.



Hivyo makala NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)

yaani makala yote NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/10/naibu-waziri-wa-afya-atembelea-bohari.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NAIBU WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA BOHARI YA DAWA (MSD)"

Post a Comment