title : SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA.
kiungo : SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA.
SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA.
Mgeni rasmi, Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akifungua semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akifuatilia semina kuhusu maadili na mapambano dhidi ya rushwa kwa Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma. wa pili kulia ni katibu wa Bunge, Mheshimiwa Stephen kagaigai, wa pili kushoto ni katibu wa Chama hicho, Mheshimiwa Daniel Mtuka na kushoto ni kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho, Mheshimiwa Cecilia Pareso.
Wanachama wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC) wakifuatilia semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa, Job Ndugai (kulia) akipokelewa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mtandao wa Wabunge wanaopambana na Rushwa Tanzania (APNAC), Mheshimiwa Cecilia Pareso (kushoto) kwenda kufungua semina kuhusu maadili na Mapambano dhidi ya rushwa iliyofanyika leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA.
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/11/spika-ndugai-afungua-semina-ya.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AFUNGUA SEMINA YA WANACHAMA WA CHAMA CHA MTANDAO WA WABUNGE WANAOPAMBANA NA RUSHWA."
Post a Comment