Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda

Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda
kiungo : Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda

soma pia


Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuwa fikira ya kutaka kuwa na ofisi bora za walimu katika mkoa wa Dar es Salaam imeanza kutimia kwa baadhi ofisi kufikia hatua ya upauaji.

Akizungumza leo katika uzinduzi ofisi ya walimu wa shule ya msingi Mapinduzi, Makonda amesema sasa anapata usingizi kuona ndoto yake inanitimia ya kuwapa ofisi nzuri za wanafunzi.

Makonda amesema kuwa wakati alipikuja na wazo hilo alijua hali ni kazi ngumu lakini kutokana na msukumo wa sasa chini ya Serikali ya Dk. John Pombe Magufuli ya elimu bure inatimia.Amesema maendeleo yeyote kwa watoto wa kitanzania yanaanza kwa walimu ambao ndio wataweza kuzalishwa watoto hao kupata elimu na kuinuka kiuchumi.

“Mtu mwenye umasikini hana nyumba ambayo haina bati kamwe hawezi mtu kuwa na nyumba ya bati ili aweze kuwa na nyumba hiyo lazima apate elimu”amesema.Katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa huyo amesema wanaonunua maeneo ya shule ni kukamatwa pamoja na wanaonunua wakamatwe ambapo mtu mmoja Ajay Shohan amekamatwa kwa kununua eneo la shule ya msingi Mapinduzi.

Katika hafla ya uzinduzi wa upauji wa shule msingi Mapinduzi kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imetoa mchango wa fedha taslim Shilingi milioni Hamsini (50,000,000) kwa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ikiwa ni moja ya utekelezaji wa kampuni hiyo katika kuunga mkono jitihada za serikali na ofisi hiyo katika kuboresha sekta ya elimu Tanzania, kupitia ujenzi wa ofisi za walimu kwa shule 402 kati ya hizo shule 295 ni za elimu ya awali/msingi na shule 107 ni za sekondari zilizoko mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipokea Hundi ya Milioni 50 kutoka kampuni ya Hallotel kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za walimu 402 Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza katika uzinduzi wa kukamalika kwa ujenzi wa ofisi ya walimu wa shule ya msingi Mapinduzi, leo jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Ofisi za Walimu Mkoa wa Dar es Salaam, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Solomon Urio akitoa taarifa ya hatua za mbalimbali za ujenzi wa ofisi za walimu leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa upauaji wa ofisi ya walimu shule ya msingi Mapinduzi leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akipaua jengo la ofisi ya walimu katika shule msingi Mapinduzi leo jijini Dar es Salaam.



Hivyo makala Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda

yaani makala yote Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/ujenzi-wa-ofisi-za-walimu-yaanza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ujenzi wa ofisi za walimu yaanza kutimia-Makonda"

Post a Comment