title : WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA
kiungo : WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA
WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA
Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba Abeid Juma Ali akikagua banda la vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group kiliopo shehia ya Gando Ziwengi Wilaya ya Wete lililoteketezwa kwa moto na watu wasiyojuilikana usiku wakuamkia leo Januari 26, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali akizungumza na vijana wa kikundi cha Kujikomboa Group cha shehia ya Gando Ziwengi alipofika kuwafariji.
Eneo la shamba la matunda na alizeti linaloshughulikiwa na kikundi cha Kujikomboa Group cha Gando Ziwengi.Picha na Makame Mshenga Pemba.
Hivyo makala WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA
yaani makala yote WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/01/watu-wasiyojulikana-wachoma-moto-banda.html
0 Response to "WATU WASIYOJULIKANA WACHOMA MOTO BANDA LA VIJANA KIKUNDI CHA KUJIKOMBOA GROUP PEMBA"
Post a Comment