title : HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI
kiungo : HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI
HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI
Katika hali ya kuchekesha kama si ya kushangaza hivi karibuni, mwanamke mmoja huko Texas nchini Marekani aitwaye Toscha Fay Sponsler mwenye umri wa miaka 33 aliyekuwa amekamatwa na polisi na kufungwa pingu kisha kuwekwa kwenye gari ya polisi hao alijifungua pingu alizokua amefungwa na kuondoka na gari hiyo kwa mwendo wa kasi.
Kabla ya tukio hilo mwanamke huyo alikua amekamatwa kwa kosa la kuiba vitu dukani yaani wakati anafanya shopping na baada ya polisi kumkamata kwa kosa hilo na kumwingiza kwenye gari yao hiyo wakiwa wamemfunga pingu na askari hao kuendelea na shughuli zao nyingine, walishangaa kuona baada ya dakika chache gari yao inaondolewa na mwanamke huyo.
Maaskari hao walijaribu kukimbiza gari hiyo kwa kutumia gari nyingine na baada ya mwendo wa dakika ishirini mwanamke huyo alishindwa kuendelea kuendesha gari hiyo na ndipo maaskari hao walipomkamata na kumtia mbaroni tena.
Hivyo makala HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI
yaani makala yote HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/hii-kalimwanamke-jambazi-aiba-gari-ya.html
0 Response to "HII KALI:MWANAMKE JAMBAZI AIBA GARI YA POLISI"
Post a Comment