KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU

KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU
kiungo : KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU

soma pia


KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU

Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd wakiendelea na kazi kiwandani hapo ambapo hadi kufikia jana zaidi ya wananchi 200 wamepata ajira.
Mfanyakazi wa kiwanda cha kubangua Korosho cha Korosho Africa Ltd Tunduru Mkoani Ruvuma Issa Kahesa kulia akimueleza Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera kazi ya ubanguaji wa korosho za Serikali inavyoendelea katika kiwanda hicho.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera aliyeinama akiangalia ubora wa korosho za Serikali zinazobanguliwa katika kiwanda cha kubangua korosho cha Korosho Africa Ltd kilichopo Tunduru Mkoani Ruvuma.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera akiangalia korosho zilizobanguliwa katika kiwanda cha Korosho Africa Ltd ambacho kimeingia mkataba na Serikali kwa ajili ya kubangua korosho za Serikali zilizonunuliwa katika msimu wa 2018/2019 kutoka kwa wakulima wa wilaya ya Tunduru,kulia ni mfanyakazi wa kiwanda hicho Issa Kahesa. Picha na Amri Mmanja, Ruvuma.


Hivyo makala KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU

yaani makala yote KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/02/korosho-za-serikali-zaanza-kubanguliwa_25.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KOROSHO ZA SERIKALI ZAANZA KUBANGULIWA WILAYANI TUNDURU"

Post a Comment