Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu

Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu
kiungo : Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu

soma pia


Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu


Mwanamuziki Diamond Platnumz  amemkubali  mtoto  aliyezaa  na  na Hamisa Mobeto na amesema jina alilotaka apewe mtoto huyo  ni Dylan lakini kwa sababu za kutafuta umaarufu mwanamke huyo alimwita Abdul Nassib.
Amesema Hamisa alimwita mtoto huyo Abdul ambalo ni jina la baba yake mzazi ili iwe rahisi watu kufahamu kuwa mtoto huyo ni wa kwake baada ya kukubaliana kufanya uhusiano wao kuwa wa siri.

"Tulikubaliana na Hamisa Mobeto kuwa ujauzito huo usitangazwe kuwa ni wa kwangu, na alikubali lakini akawa anatangaza.

"Mpaka Mobeto anajifungua, nilikuwa nampa 70k kila wiki, nilimnunulia RAV4 na kabla hajajifungua nilimpa Tsh 7m ya kununua vitu.

"Sio kweli kwamba nilimkataa mtoto kama Hamisa anavyodai, bali alikuwa anatuma watu ili niseme sijamkataa watu wajue kuwa ni wangu.

"Zari anajua kuhusu mtoto wangu na Mobeto na hana tatizo, ila Mobeto anatengeneza mazingira nigombane na Zari kitu ambacho sitafanya.

"Wakati anajifungua nilimpa $3,500, nikamtafutia hospitali binafsi na baada ya kujifungua, nilimuomba mama yangu akamuone mjukuu

"Siku Hamisa Mobeto anajifungua sikuwepo Tanzania na niliporudi nilikwenda kumuona mwanangu na kulala naye hadi asubuhi.

“Mimi jina ninalolitambua ni Dylan hata niliposikia wamemwita Abdul nilisema poa tu lakini akija kwangu nitamwita ninalolitaka mimi kwa sababu nataka aitwe DD (D Square).” Amesema Diamond

Amesema alisikitishwa pia na kitendo cha mwanamke huyo kumualika baba yake katika sherehe ya kutimiza siku arobaini ya mtoto huyo akimdanganya kuwa angekuwepo.

“Walimwalika mzee Abdul na nguo wakampelekea ili ahudhurie, yote hiyo ili mradi tu wapate cha kuzungumziwa mitandaoni,” amesema.


Hivyo makala Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu

yaani makala yote Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/diamond-amkubali-mtoto-aliyezaa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Diamond Amkubali Mtoto Aliyezaa na Hamisa Mobeto....." Nilitaka mwanangu aitwe Dylan nashangaa kuitwa Abdu"

Post a Comment