title : MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE
kiungo : MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE
MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiangalia huduma mbalimbali zilizokua zikitolewa kituoni hapo.
MWAKILISHI wa Shirika la Afya Ulimwenguni WHO Dkt Ghirmay Andemichael akizungumza katika maadhimisho hayo
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed akiwahutubia wananchi mbalimbali waliohudhuria katika maadhimisho hayo yaliofanyika katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Kutokana na mvua iliokua ikiendelea kunyesha Waandishi wa Habari hawakua nyuma kuchukua habari katika maadhimisho hayo.
MKUU wa Wilaya ya Kaskazini ‘A’ Unguja Hassan Ali Kombo akitoa shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar ilivyo ichagua Wilaya yake Kufanya maadhimisho ya mwaka huu.
WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Muhamed watatu kutoka kushoto akipiga picha ya pamoja na wageni mbalimbali.
Hivyo makala MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE
yaani makala yote MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/maadhimisho-ya-70-ya-siku-ya-afya.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA 70 YA SIKU YA AFYA DUNIANI 2018 MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KIJIJI MCHA KIJINI MATEMWE"
Post a Comment