title : Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha
kiungo : Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha
Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha
DIAMOND ANAFUNGUKA :
“Baada ya kuachana wakati, mimi nikaendelea na maisha yangu na mpaka naanzisha mahusiano yangu na Zari. Shetani akanipitia na Tukaanza tena kuwa na mawasiliano ya kimahaba mpaka pale
@hamisamobetto alipopata ujauzito. Nilimuambia mimi ni Baba mwenye familia yangu. Inabidi jambo hili libaki kati yangu mimi na wewe. Sikupenda kuikana Mimba, ni damu yangu na kila siku iendayo kwa Mungu nilikuwa nampatia matumizi.” – #DiamondOnLeoTena
Hivyo makala Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha
yaani makala yote Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/09/diamond-asema-alipitiwa-na-shetani.html
0 Response to "Diamond asema alipitiwa na shetani kumsaliti ZARI..amuomba Msamaha"
Post a Comment