KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA.

KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA.
kiungo : KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA.

soma pia


KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akisaini kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dkt Gaudensia Kabaka (MCC) akisaini kitabu cha maombolezo kwenyeOfisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.


Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akisaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg.Shaka Hamdu Shaka akisaini kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akiagana na Balozi wa Afrika Kusini nchini Tanzania Mh. Thamsanga Dennis Msekelu Mara baada ya kusaini  kitabu cha maombolezo kwenye Ofisi za Ubalozi wa Afrika Kusini kufuatia kifo cha Mwanaharakati na mke wa zamani wa Rais wa kwanza Mwafrika wa Afrika Kusini(Hayati Nelson Mandela), Bi.Winnie Madikizela Mandela Jijini Dar es Salaam leo.

(Picha zote na Fahadi Siraji CCM BLOG)



Hivyo makala KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA.

yaani makala yote KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/04/kinana-aongoza-viongozi-wa-ccm_9.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KINANA AONGOZA VIONGOZI WA CCM MAOMBOLEZO YA WINNIE MADIKIZELA MANDELA."

Post a Comment