Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi

Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi
kiungo : Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi

soma pia


Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi

Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa kidato cha tatu shuleni hapo.

Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, January Lugangika amesema waalimu wa wanafunzi hao wamekikuka maadili ya ualimu na kwamba watachukuliwa hatua zaidi huku akiongeza kuwa tabia hizo zinaleta kichefu chefu kwa jamii.

Aidha mwenyekiti huyo amedai kuwa ushahidi wa tukio hilo umethibitishwa na Daktari ambaye aliwafanyia vipimo na kuthibitisha ni kweli kitendo hicho kilifanyika

Kwa upande wa Afisa elimu wa sekondari Wilaya ya Lushoto Kassim Singato amesema endapo kutakuwa na masomo ya ziada ni lazima yafahamike muda yanapoisha ili wazazi waweze kufuatilia mwenendo wa watoto wao.

"Inabidi wazazi muwafatilie watoto wenu kwa kila hatua, mjue wanafanya nini shuleni na kama mzazi humfatilii anaweza kufanya mambo usiyoyajua na badala yake ukashtukia ana mimba ya miezi hata sita," alisema Singato.

Watuhumiwa wa tukio hilo ni mwalimu Fredriki Shebila na Saddat Mohamed.


Hivyo makala Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi

yaani makala yote Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/walimu-watiwa-mbaroni-kwa-kufanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Walimu Watiwa mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi"

Post a Comment