TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba

TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba
kiungo : TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba

soma pia


TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba


Baada ya shirikisho la soka Tanzania TFF kuomba radhi kwa kutoa Ngao ya Hisani kwa Simba iliyokuwa na makosa ya kiuandishi, leo shirikisho hilo limeonesha na kutangaza kuitengenezea Ngao mpya Simba ambayo watawakabidhi siku ya mchezo wa Ligi Kuu kati ya Simba dhidi ya Azam FC.

Kama utakuwa unakumbuka TFF ambao ndio waandaaji wa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba dhidi ya Yanga uliyochezwa uwanja wa Taifa August 23 na Simba kupata ushindi wa penati 5-4, ilitolewa Ngao ya Hisani ambayo iandikwa kimakosa ‘SHEILD’ badala ya ‘SHIELD’ lakini imesema imewaadhibu wahusika waliyofanya kosa hilo.




Hivyo TFF wamewatengenezea Ngao mpya Simba ambayo haina makosa, pamoja na hayo TFF imethibitisha nahodha wa Taifa Stars Mbwana Samatta na Elias Maguli wamewasili kambini wakati Abdi Banda ataingia mchana wa leo na Simon Msuva usiku wa leo.


Hivyo makala TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba

yaani makala yote TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/tff-kutengeneza-ngao-mpya-ya-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF Kutengeneza Ngao Mpya ya Simba"

Post a Comment