title : WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI.
kiungo : WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI.
WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI.
Na Estom Sanga-Kilimanjaro.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Mkuchika yuko katika ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro kukutana na wananchi wanaonufaika na huduma za Mfuko wa Maendeleo ya Jamii- TASAF kupitia Mpango wake wa Kunusuru Kaya Maskini- PSSN.
Akiwa katika ziara hiyo, Mhe. Mkuchika amejionea namna Walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini, walivyoboresha maisha yao kwa kutumia huduma za TASAF kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini zinazoambatana na ruzuku ya fedha, elimu ya ujasiliamali na utekelezaji wa masharti ya Elimu na Afya huku mkazo ukiwekwa katika kuwajengea mazingira ya kukuza kipato cha Walengwa hao.
Akizungumza na Walengwa katika wilaya za Same, Mwanga,Siha na Hai kwa nyakati tofauti ,Mhe. Mkuchika amesema shughuli za TASAF ni mwendelezo wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya 2015 ambayo imeielekeza serikali kutumia mbinu mbalimbali za kutatua kero ya umaskini miongoni mwa wananchi kwa lengo la kuboresha maisha yao.
Amesema kutokana na dhamira thabiti ya serikali katika mapambano dhidi ya Umaskini , wananchi kwa ujumla wao hususani wale waliojumuishwa kwenye Mpango wa TASAF wanapaswa kujituma zaidi katika kuanzisha na kutekeleza miradi ya uzalishaji mali ili waweze kujiongezea kipato na hatimaye kuondokana na adha ya umaskini.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika (aliyevaa kofia) akikagua nyumba inayojengwa na mmoja wa Walengwa wa TASAF (wa kwanza kulia ) katika kijiji cha Kileo,wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro.

Mhe. George Mkuchika Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (aliyevaa koti nyeusi ) akihesabu fedha kabla ya kumkabidhi mmoja wa Walengwa wa TASAF mkoani Kilimanjaro baadhi ya kuridhishwa na jitihada za mlengwa huyo katika kupambana na umaskini kwa kutumia ruzuku ya TASAF.
Waziri Mkuchika akiangalia moja ya mazizi ya mbuzi za Walengwa wa TASAF katika wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro ikiwa ni mojawapo ya njia za kujiongezea kipato kupitia Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mhe. Kippi Warioba(wa pli kulia )akieleza jambo baada ya Waziri wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora mhe. George Mkuchika kutembelea mojawapo ya makazi ya Mlengwa wa TASAF (mwenye kilemba) wilayani Siha.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>

Hivyo makala WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI.
yaani makala yote WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/walengwa-wa-tasaf-mkoani-kilimanjaro.html
0 Response to "WALENGWA WA TASAF MKOANI KILIMANJARO WAIANGUKIA SERIKALI."
Post a Comment