WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI

WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
kiungo : WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI

soma pia


WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI

Baadhi ya Wakandarasi nchini bado wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upitaji wa magari makubwa bila ya kuwa na vipimo maalum, hali hiyo imekuwa ikiharibu miundombinu ya barabara,huku wakibainishwa kuwa wamekuwa wakitumia gharama kubwa ya kufanya marekebisho mbalimbali kabla ya kukabidhi barabara hizo kwa Serikali.

Hayo yameelezwa leo na mmoja wakandarasi kutoka Kampuni ya Caberisa Co.Ltd Bernad Mgohamwende ambae anajenga barabara kwa kiwango cha changalawe yenye urefu wa kilomita 36, eneo la barabara ya mbauda ,Osunyai iko katika kiwango cha changarawe,barabara hiyo ipo katika hatua za mwisho kukabidhidhiwa katika wilaya ya Arusha,Mkoa wa Arusha.

Mkanadarasi huyo amesema kuwa katika utekelezaji wa kujenga barabara hizo ,Serikali itaweka utaratibu wa kupima magari hayo ili kusaidia kutunza barabara hizo na wao za kutotumia gharama kubwa kuzirekebisha .

Bila Serikali kuweka vipimo maalumu katika barabara zetu, italazimika kutoa pesa mara kwa mara kuwalipa wakandarasi kwa ajili ya kufanya marekebisho,jambo ambalo itazidi kuitia hasara Serikali na kuwa na matumizi mabaya ya pesa hizo.


Picha ikimuonesha Mkandarasi kutoka Kampuni ya Caberisa Co.Ltd Bernad Mgohamwende, ambaye anajenga barabara kwa kiwango cha changarawe yenye urefu  wa kilomita 36, eneo la barabara ya mbauda ,Osunyai Mkoani Arusha iko katika hatua za mwisho kukabidhi (Picha na Pamela Mollel).


HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI

yaani makala yote WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/08/wakandarasi-nchini-wakabiliwa-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI"

Post a Comment