title : DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI.
kiungo : DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI.
DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI.
Na WAMJW - KAGERA
Naibu Waziri wa Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Faustine Ndugulile amepiga marufuku kwa hospitali na vituo vyote vya kutolea huduma za Afya nchini kuonesha miziki katika maeneo yote yakutolea huduma na kuwataka kuweka jumbe zinazohusu Elimu Afya kwa umma pindi wanapongoja kupata huduma.
Ameyasema hayo mapema leo wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua hali ya utoaji huduma za afya katika ukumbi wa halmashauri ya Muleba katika Mkoa wa Kagera."Ni marufuku kwa hospital zote kuonesha miziki katika maeneo yote ya utoaji huduma za afya" alisema Dkt Ndugulile.
Pia Dkt. Ndugulile amemwagiza Mganga mkuu wa Wilaya ya Ngara DKt. Revokatus Ndyekobora kuhamasisha wananchi Juu ya umuhimu wa kuudhuria kliniki kwa mama mjamzito walau mara nne ndani ya kipindi chá ujauzito wake na kuhakikisha wanajifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya.
"Tuongeze kasi katika kuhamasisha wakina mama wajawazito kuhudhuria kliniki, na kwenda kujifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya" alisema Dkt Ndugulile. Pia alisema kuwa Serikali inaendelea kuboresha sekta ya Áfya nchini kwa kutoa pesa ya ujenzi wa vituo vya kutolea huduma za Afya na kuhamasisha ushirikishwaji wa wananchi katika ujenzi wa vituo hivyo (Forced account)
"miundombinu tunaendelea kuboresha, Mkoa mzima tumeleta shilingi Bilion 5.9 kwaajili ya kuboresha vituo vya Áfya, viwili vikiwa katika Wilaya ya Ngara "alisema Dkt Ndugulile .
Naibu Waziri wa Áfya Dkt Faustine Ndugulile akikagua vifaa vya maabara katikati hospitali ya Wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera
Naibu Waziri wa Áfya Dkt Faustine Ndugulile akikagua cheti cha Mtoto pindi alipotembelea wodi ya Watoto katika hospitali ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera
Naibu Waziri wa Áfya Dkt Faustine Ndugulile akiwaonesha nembo ya vifaa vya Serikali Kamati ya ulinzi na usalama ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Biharamuro Sada Malunde (wakushoto).

Hivyo makala DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI.
yaani makala yote DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/dkt-ndugulile-apiga-marufuku-kwa-tv-za.html
0 Response to "DKT. NDUGULILE APIGA MARUFUKU KWA TV ZA HOSPITALI KUONESHA MUZIKI."
Post a Comment