title : Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya
kiungo : Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya
Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) iwakamate watendaji 12 wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya wakiwamo aliyekuwa mstahiki meya Athanas Kapuga.Amesema pia wakamatwe, wakurugenzi watatu, kaimu mkurugenzi, wahasibu wawili na wajumbe wa bodi wanne kwa kuisababishia hasara jiji hilo kiasi cha Sh63 bilioni katika ujenzi wa Soko la Mwanjelwa.
Amewataka makamanda wa Takukuru kuanzia leo wawakamate watuhumiwa hao na kwamba anatuma timu kutoka ofisi ya waziri mkuu kwa ajili ya kuandaa mashtaka hayo ambapo itatua Mbeya Jumatano.
Hivyo makala Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya
yaani makala yote Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/waziri-mkuu-aagiza-kukamatwa-kwa.html
0 Response to "Waziri Mkuu Aagiza kukamatwa kwa viongozi 12 wa Jiji la Mbeya"
Post a Comment