title : YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO.
kiungo : YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO.
YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO.
Kikosi cha Yanga na Singida United zimekuwa timu za kwanza kuondoshwa kwenye michuano ya SportPesa baada ya kufungwa katika michezo yao ya robo fainali na kuziacha timu kutoka Kenya kutinga nusu fainali.
Singida United ilichapwa bao 1-0 na Bandari Fc katika mchezo wa mapema na baadae Yanga kuchapwa mabao 3-2 na Kariobang Sharks
Matumaini pekee kwa Watanzania yamebaki kwa Simba na Mbao Fc ambazo zinashuka dimbani leo.
Mbao itachuana na mkabingwa watetezi Gor Mahia wakati Simba itamenyana na AFC Leopards
Wakati Mbao haipewi nafasi kubwa ya kuifunga Gor Mahia, Simba inabeba matumaini ya Watanzania kwenye michuano hiyo
Itakuwa aibu kwa nchi kama timu zote nne zitatolewa katika raundi ya kwanza na kuziacha timu kutoka nchini Kenya zikibaki kwenye michuano hiyo.
Kama Simba iatifunga AFC Leopards itachuana na Bandari Fc kwenye mchezo wa nusu fainali
Hivyo makala YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO.
yaani makala yote YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2019/01/yanga-singida-watupwa-nje-michuano-ya.html
0 Response to "YANGA, SINGIDA WATUPWA NJE MICHUANO YA SPORTPESA, SIMBA, MBAO FC KIBARUANI LEO."
Post a Comment