RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM
kiungo : RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM



Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti wa Zantel, Hamza Zuheri (wa tatu kushoto) juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel jana jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la Kampuni hiyo katika maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea hivi sasa katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere.
Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mhe. Ally Hassan Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Data na Vifaa vya intaneti wa Zantel, Hamza Zuheri (wa pili kushoto) juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel jana jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo kutembelea banda la Kampuni hiyo katika maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo na Biashara nchini Christopher Chiza (wa pili kulia).
Msanifu Maabara kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Sebastian Magulu (kushoto) akizungumza wakati wa kumtoa damu Mkazi wa Mbagala, Husna Hamisi (katikati) katika banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel alipotembelea banda hilo jana jijini Dar es salaam ili kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni hiyo. Zantel kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa damu Salama wameandaa utaratibu wa uchangiaji damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa huduma hiyo katika kipindi hiki cha maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Kulia ni Meneja wa Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa.
Mkazi wa mkoa wa Morogoro, Peter Albano akichangia damu katika banda la Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel alipotembelea banda hilo jana jijini Dar es salaam ili kujionea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kampuni hiyo. Zantel kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa damu Salama wameandaa utaratibu wa uchangiaji damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya watu wenye uhitaji wa huduma hiyo katika kipindi hiki cha maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Dar es salaam maarufu kama Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwl J.K Nyerere. Anayetoa damu ni Msanifu Maabara kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Sebastian Magulu. 



Hivyo makala RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/rais-mstaafu-mhe-alli-hassan-mwinyi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS MSTAAFU MHE. ALLI HASSAN MWINYI ATEMBELEA BANDA LA ZANTEL KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA YA 2017 JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment