JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR

JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR
kiungo : JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR

soma pia


JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR

Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya enzi za uhai wake.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma (wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa wakiwa wamejipanga tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, tayari kwa mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, likishushwa kaburini wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo
Askari Polisi wakitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania, Jaji Prof. Ibrahim Juma akiwa na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakishiriki mazishi ya Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi (kushoto mstari wa mbele) akishiriki mazishi ya Marehemu Jaji Upendo Hilary Msuya aliyewaki kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kinondoni, Jijini Dar es salaam leo



Hivyo makala JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR

yaani makala yote JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/jaji-upendo-msuya-azikwa-leo-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JAJI UPENDO MSUYA AZIKWA LEO KWENYE MAKABURI YA KINONDONI, JIJINI DAR"

Post a Comment