title : Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0.
kiungo : Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0.
Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0.
Viongozi wa Timu ya Mlandege wakiongozwa na AbdulSatar wakifuatilia mchezo wa Timu yao na Timu ya Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mlandege imeshinda 2--0, wakiwa katika jukwaa la VIP wakiwa makini kufuatilia mchezo huo.
Mshambuliaji wa timu ya mlandege akipiga mpira golini kwa timu ya Mapinduzi wakati wa mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa wa Wilaya uliofanyika uwanja wa amaan Zanzibar.
Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Mapinduzi.
Mshambuiaji wa Timu ya Mlandege akimiliki mpira huku mabeki wa Timu ya Mapinduzi wakijiandaa kumzuiya.
Hivyo makala Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0.
yaani makala yote Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/ligi-ya-mabingwa-wa-wilaya-unguja-kati.html
0 Response to "Ligi ya Mabingwa wa Wilaya Unguja Kati ya Mlandege na Mapinduzi Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Mlandegev Imeshinda 2--0."
Post a Comment