title : KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA
kiungo : KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA
KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akipokea tuzo ya pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka katika Kongamano la Jumuiya hiyo , kumpongeza Rais Dk. Magufuli kutimiza miaka mitatau tangu aingie madarakani na pia kwa utekelezaji thabiti wa Ilani ya CCM, lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mwalimu Queen Mlozi.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye tuzo hiyo ya pongezi kwa Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT) Gaudentia Kabaka katika Kongamano la Jumuiya hiyo , kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Katibu Mkuu wa UWT Taifa Mwalimu Queen Mlozi akishereheka pamoja na washiriki mbalimbali waliofika kwenye kongamano hilo lililofana kwa kiasi kikubwa,huku likihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Gaudentia Kabaka akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Mwalimu Queen Mlozi, katika Kongamano la kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Baadhi ya Washiriki wakishangilia wakati wa Kongangamano la Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Mwenyekiti wao CCM, Rais Dk. John Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika Novemba 17,2018 katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole alipokuwa akiwasili katika katika Kongangamano la kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Hivyo makala KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA
yaani makala yote KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/11/kongamano-la-uwt-lafanalatoa-tuzo-kwa.html
0 Response to "KONGAMANO LA UWT LAFANA,LATOA TUZO KWA MWENYEKITI WAO RAIS DKT MAGUFULI KWA UTEKELEZAJI THABITI WA ILANI YAO YA CHAMA"
Post a Comment