BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFUkiungo :
BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU
BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU
Mwanamke mmoja mjini Minesesotta nchini Marekani amehukumiwa kwa kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake katika kile kinachosemekana ni mgogoro wa mtandaoni.Monalisa Perez mwenye umri wa miaka 19 aliwekwa kizuizini baada ya kumpiga risasi Pedro Ruiz alipokuwa akshikilia kitabu katika kifua chake akidhani kitazuia risasi hiyo.Wawili hao wana mtoto wa miaka mitatu na takriban watu 30 walikuwa wakiangalia video hiyo ya YuTube alipompiga risasi mpenziwe.Shangazie Ruiz anasema kuwa walifanya kitendo hicho ili kuimarisha ufuasi wao katika katika mitandao ya kijamii.Claudia Ruiz aliambia runinga ya WDAY-TV kwamba binamu yake alimwambia kwamba alitaka kufanya kitendo hicho '' kwa sababu walihitaji kupata wafuasi zaidi''. ''tunataka kuwa maarufu''.
''Aliniambia kuhusu wazo hilo na nikamwambia'',''Musafanye hivyo''.
''Kwa nini utumie bunduki? Kwa nini?'', Claudia Ruiz aliambia chombo hicho cha habari.
''Walikuwa wakipendana sana'',alisema.''ulikuwa mzaha uliofanyika kimakosa''.
Hivyo makala BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU
yaani makala yote BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/binti-amuua-mpenzi-wake-kwa-mzaha.html
0 Response to "BINTI AMUUA MPENZI WAKE KWA MZAHA KATIKA YOU TUBE ILI KUPATA UMAARUFU"
Post a Comment