title : MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM
kiungo : MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM
MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na wakazi wa Kata ya Mgomeni Mzimuni jijini Dar es salam ambao alijumuika nao katika futari ya pamoja iliyoandaliwa katika ofisi za umoja wa wabunge wa CUF iliyopo katika kata hiyo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiomba dua pmoja na viongozi wengine waandamizi wa Chama Cha Wananchi CUF ambao walikusanyika kwa ajili ya futari katika kata ya Magomeni Mzimuni.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiwa ameketi katika kiti pamoja na Wanachama wengine wa CUF katika ofIsi za umoja wa wabunge wa Chama cha Wanachi CUF
Baadhi ya wabunge wa Chama cha Wananchi CUF wakiwa wameketi wakifuturu futari iliyoandaliwa na kata ya Magomeni Mzimuni
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi Cuf , Maalim Seif Sharif Hamad akiteta na Mwenyekiti wa Matawi ya CUF Rashid Abdullah mara baada ya kupata futari ya pamoja na wakazi wa Magomeni Mzimuni. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/maalim-seif-ajumuika-katika-futari-na.html
0 Response to "MAALIM SEIF AJUMUIKA KATIKA FUTARI NA WAKAZI WA MAGOMENI MZIMUNI, DAR ES SALAAM"
Post a Comment