IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI

IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI
kiungo : IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI

soma pia


IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro.
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa kuwa msemaji mpya wa jeshi hilo, akichukua nafasi ya Kamishina Msaidizi, Advera John Bulimba ambaye atapangiwa kazi nyingine.



Kamishina Msaidizi, Advera John Bulimba.
Uteuzi wa Mwakalukwa unatajwa kuwa moja ya harakati za IGP Siro kulifanyia mabadiliko jeshi hilo, katika kuboresha utendaji kazi wake ikiwa ni pamoja na kujizatiti na mapambano ya uhalifu.
Kabla ya uteuzi huo, Kamishina Msaidizi Mwakalukwa amelitumikia Jeshi la Polisi kwa nafasi na nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Kamanda wa Oparesheni wa mikoa mbalimbali pamoja na ngazi zingine za utumishi wa juu.


Hivyo makala IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI

yaani makala yote IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/07/igp-sirro-ateua-msemaji-mpya-wa-jeshi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO ATEUA MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI"

Post a Comment