title : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
kiungo : SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
SIMU.TV: Makamu wa rais Samia Suluhu amewataka watanzania kutowasikiliza baadhi ya wanasiasa wanaowataka kususia au kupinga miradi ya maendeleo; https://youtu.be/57_-FEoGU_g
SIMU.TV: Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli ameishukuru serikali ya Kuwait kwa kutoa mkopo wa dolla za Marekani milioni 51 zitakazosaidia ujenzi wa barabara; https://youtu.be/3yteEUAkNDE
SIMU.TV: Serikali ya Tanzania imeendelea na jitihada zake za kuboresha huduma za usafiri baada ya leo kuzindua kivuko kipya katika eneo la Kigamboni jijini Dar Es salaam; https://youtu.be/BzGTMe6MnpM
SIMU.TV: Mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji Chalinze ameshindwa kukamilisha kwa wakati mradi huo na kulazimika kuongezewa muda mpaka mwezi Oktoba; https://youtu.be/jLmT9Ju-olg
SIMU.TV: Wakulima wanaojihusisha na shughuli za kilimo, ufugaji na uvuvi wanatarajia kunufaika na mikopo kutoka katika benki ya TADB; https://youtu.be/9XLQtfKn6uQ
SIMU.TV: Serikali ya Tanzania imeleza dhamira yake ya kufikia nchi ya viwanda kwa kuendelea kuwekeza kwenye kilimo cha biashara; https://youtu.be/iNWGeCeY6ao
SIMU.TV: Serikali ya Tanzania imetakiwa kuangalia njia bora za kutunza mazingira ikiwemo kuendelea kutoa elimu kwa watanzania juu ya utunzaji wa mazingira; https://youtu.be/rcezpMr5NLQ
SIMU.TV: Golikipa wa Yanga Deogratius Munishi ameibuka shujaa baada ya kupangua mkwaju wa penati na kuisadia timu yake kuingia nusu fainali ya kombe la SportPesa; https://youtu.be/BNrGFPyYjNg
SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa Khalfan Haule amezindua mashindano ya ligi daraja la nne ngazi ya wilaya hiyo; https://youtu.be/kstldNKYFVk
SIMU.TV: Wasimamizi wa umoja wa michezo shule za msingi Umitashumta wametakiwa kusimamia sheria za mashindano hayo ili kuwapata washindi wa haki; https://youtu.be/1KmNF5uWVPM
Hivyo makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI
yaani makala yote SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/simu-tv-habari-kutoka-televisheni.html
0 Response to "SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI"
Post a Comment