title : WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI
kiungo : WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI
WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI
Balozi na Mwakilishi wa Uswisi Afrika Mashariki, Arthur Mattli, akimkabidhi cheti cha ushiriki wa “Warsha ya Uchoraji Karikacha & Vibonzo,” Saidi Michael maarufu kama “Wakudata” hivi karibuni baada ya kushiriki mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoendeshwa na asasi ya Nathan Mpangala Foundation (NMF) na kufadhiliwa na Ubalozi wa Uswisi nchini. Katikati ni Mwenyekiti wa NMF, Nathan Mpangala.
Mchora vibonzo Musa Ngarango aka “Masikio Mchongoko”, akilamba ganda lake.
Mchora vibonzo chipukizi, Brenda Kibakaya alidhihirisha kuwa uchoraji vibonzo si kwa wanaume tu.
Magret Liwembe akimkabidhi zawadi mgeni rasmi (karikacha cha mke wa balozi iliyonakshiwa kwa saini za washiriki) kwa niaba ya washiriki wenzake.
Hivyo makala WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI
yaani makala yote WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/warsha-ya-karikacha-vibonzo-yamalizika.html
0 Response to "WARSHA YA KARIKACHA & VIBONZO YAMALIZIKA, YAFUNGWA NA BALOZI ARTHUR MATTLI"
Post a Comment