Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar - Hallo rafiki
WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala biashara,
makala general,
makala hobby,
makala karibuni info,
makala michezo,
makala siasa,
makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibarkiungo :
Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar
Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud (kulia) akimshukuru Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela baada ya kupokea zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB – Abdulmajid Nsekela (wa kwanza kulia) akijiandaa kumkabidhi zawadi ya ramadhani Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi, Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud ikiwa ni zawadi maalumu kwa ajili ya Ramadhani mara baada ya kumalizika kwa tafrija ya futari iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya Wateja wake walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani. Hafla hii ya Futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Baadhi ya wateja wa Benki ya NMB walio kwenye mfungo Mtukufu wa Ramadhani mjini Zanzibar wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Baadhi ya viongozi mbalimbali na wa Benki ya NMB wakiwa kwenye hafla ya futari Mjini Zanzibar. Hafla hiyo ya futari ilifanyika Mjini Zanzibar- Unguja juzi.
Hivyo makala Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar
yaani makala yote Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2017/06/benki-ya-nmb-yafuturu-pamoja-na-wateja.html
0 Response to "Benki ya NMB yafuturu pamoja na wateja wake Mjini Zanzibar"
Post a Comment