TANZIA

TANZIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZIA
kiungo : TANZIA

soma pia


TANZIA

Mzee Solomon Seth Gwassa na mama Phaines Gwassa wa Forest Jijini Mbeya,  wanasikitika kutangaza kifo cha binti yao mpendwa Anna Solomon Gwassa kilichotokea ghafla kwa ajali ya barabarani tarehe 11/06/2018 huko Kyela, Mbeya. Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Mzee Solomon Gwassa huko Mbeya. 
Habari ziwafikie kaka wa marehemu Salathiel Gwassa aliyepo Mafinga Iringa, mdogo wa marehemu Neema Gwassa aliyepo Goba, Dar es salaam, mdogo wa marehemu Lusekelo Gwassa na familia yake waliopo Beijing China, mdogo wa marehemu Atuganile Gwassa aliyepo Kijitonyama, Dar es salaam, mdogo wa marehemu Lusajo Gwassa aliyepo Shanghai China, na mtoto wa marehemu Johnson Robert aliyepo Beijing China, pamoja na ndugu jamaa na marafiki popote walipo. Bwana alitoa na tena ametwaa jina lake lihimidiwe.


Hivyo makala TANZIA

yaani makala yote TANZIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/06/tanzia.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TANZIA"

Post a Comment